Biblia takatifu. swahili bible for Android

Apktidy / Android Apps / Other Apps
biblia takatifu. swahili biblebiblia takatifu. swahili biblebiblia takatifu. swahili biblebiblia takatifu. swahili bible
Biblia takatifu. swahili bible app for android description: Biblia takatifu ya kiswahili (swahili bible)biblia ya kikristo ni mkusanyo wa maandiko matakatifu ya ukristo.
Maandiko hayo mbalimbali yanaitwa tangu zamani sana vitabu tu inavyomaanishwa na neno biblia ambalo ni uwingi wa neno la kigiriki biblos yaani kitabu.
Hutofautishwa na tanakh ambayo ndiyo maandiko matakatifu ya dini ya uyahudi na ambayo pengine inatajwa kwa jina lilelile la biblia hasa katika matoleo ya biblia ya kiebrania.
Vitabu vyake vimo katika sehemu ya kwanza ya biblia ya kikristo kwa jina la agano la kale.
Biblia ya kikristo hugawiwa sehemu mbili ambayo ni agano la kale na agano jipya.
Agano la kale lina maandiko yaliyoandikwa kabla ya yesu kristo na vitabu vya agano jipya viliandikwa baada yake.
Agano la kalekimsingi vitabu vya agano la kale ni vilevile vya biblia ya kiebrania ingawa madhehebu ya kikristo hutofautiana kidogo katika hilo.
Ni kwamba wakati wa kutokea kwa ukristo palikuwa na tofauti ndani ya uyahudi kuhusu vitabu vilivyohesabiwa kuwa maandiko matakatifu.
Suala hilo liliondolewa kuanzia mwaka 80 bk wataalamu wa wayahudi wa huko jabneh (jamnia) walipochukua msimamo mkali dhidi ya wafuasi wa yesu.
Kwa wakati huo wakristo walikuwa wamezoea tayari toleo la kigiriki la maandiko matakatifu yaliyotafsiriwa katika karne ya 2 kk ambalo linajulikana kwa jina la septuaginta na kuwa na vitabu kadhaa visivyokuwa vimetunzwa katika lugha asili ya kiebrania wala ya kiaramu au vilivyoandikwa moja kwa moja katika lugha ya kigiriki.
Hivyo biblia ya kikristo ilikuwa na vitabu 7 (viwili vya wamakabayo yoshua bin sira hekima tobiti yudith na baruku pamoja na sehemu za esta na danieli) visivyokubaliwa baadaye na wayahudi.
Vitabu hivyo 7 vikaja kukataliwa na martin luther katika karne ya 16 halafu na waprotestanti wengi lakini vinazidi kutumiwa na kanisa katoliki na waorthodoksi kwa jina la deuterokanoni.
Agano jipyakuna vitabu 27 vya agano jipya.
Vinne vya kwanza ni injili nne zinazol
Download Android 4.0+ Biblia takatifu. swahili bible.apk | 6MB

Related Apps to Biblia takatifu. swahili bible

Swahili bible offline
Swahili bible offline
updates in version - 0aug 20 2016 bug fixing multiple verse sharing bookmark etc.. Daily verse fine tuned to show only encouraging verses daily verse page..
Bible in swahili free
Bible in swahili free
for i know the plans i have for you says the lord. Quot they are plans for good and not for disaster to give you a future and a hope ( jeremiah 29: 11)we ..
Santa biblia (holy bible)
Santa biblia (holy bible)
La santa biblia the bible in spanish. The old testament and the new testament. King james version revised by cipriano de valera. Reina valera 1909the first..
Tagalog bible ( ang biblia )
Tagalog bible ( ang biblia )
We are happy to offer tagalog bible ang biblia (filipino version) for your android devices. Offered side by side with kjv english version utilizing the pow..
Tagalog bible (ang biblia)
Tagalog bible (ang biblia)
Beautiful fast convenient! Features of the app smart design by android guidelines full day and night support fast easy navigation to get to a particular ve..
Santa biblia rva (holy bible)
Santa biblia rva (holy bible)
La santa biblia the bible in spanish. King james version revised by cipriano de valera. Updated version 1989 rva. The old testament and the new testament. ..
Swahili kamusi
Swahili kamusi
User will be satisfied with this swahili english dictionary because: it has the largest vocabulary detail description for each word and a lot of samples si..
Swahili bible3d
Swahili bible3d
All whole swahili bible biblia takatifu application has been restructured with full 3d featured. Swahili bible biblia takatifu 3d is a beautiful bible stud..
Swahili - english translator
Swahili - english translator
With this translator you can easily translate words and text from swahili to english and from english to swahili. You are able to translate words and even ..
English swahili dictionary
English swahili dictionary
English to swahili dictionary from nerdcats. It contains 24000 words together for you to search live. Keep your favorites get the words of the day and hist..
English to swahili dictionary
English to swahili dictionary
English to swahili dictionarysimple and intuitive ui18 000+ english words with swahili meanings. English to swahili dictionary is a quick reference guide w..
English swahili dictionary fr
English swahili dictionary fr
This dictionary provides offline access to the english swahili and swahili english content of. It contains 32 000 translation pairs. Search quickly in eith..
Apktidy.com - Download free biblia takatifu. swahili bible.apk for Android 4.0+ mobile. ApkHere is really the best place to quickly find thousands useful apk apps and new android video games for Samsung Galaxy, Huawei, LG, Sony, Meizu, Asus android phone or tablet devices. All Apk Here apps sort of the most popular categories like education, photo editor, social, fitness, tools apps and brain, card, action, puzzle, online, arcade, racing games in .apk files format. Simple, Fast and safe Apk apps store for your android at Apktidy.com
Apktidy Main   Categories   Apk Games   Apk Apps   TOS & DMCA   Contact us
Copyright © Apktidy.com 2017 All Rights ReservedBack to top